Waziri Kigwangalla ni shidaa, afanya maamuzi magumu

Mwenyekiti wa TLP (Tanzania Labour Party) Augustino Mrema amemtaka Waziri Lugola kuchukua sheria na kukamatwa kwa aliekuwa mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP: Omary Mahita dhidi ya kesi aliokuwa amebambikiwa ya kumkashifu rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh: Benjamini Mkapa, ambapo kesi hiyo ilinguruma mnamo mwaka 1997 na Mrema kufanikiwa kushinda kesi hiyo kutokana na ushaidi