Mrema amtaka Lugola kumkamata IGP Mahita

Mwenyekiti wa TLP (Tanzania Labour Party) Augustino Mrema amemtaka Waziri Lugola kuchukua sheria na kukamatwa kwa aliekuwa mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP: Omary Mahita dhidi ya kesi aliokuwa amebambikiwa ya kumkashifu rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh: Benjamini Mkapa, ambapo kesi hiyo ilinguruma mnamo mwaka 1997 na Mrema kufanikiwa kushinda kesi hiyo kutokana na ushaidi