Msikilize hapa Lugola alivyotetea maslahi ya wabunge kuhusu kukatwa kodi ya mapato ya viinua mgongo

Mwenyekiti wa TLP (Tanzania Labour Party) Augustino Mrema amemtaka Waziri Lugola kuchukua sheria na kukamatwa kwa aliekuwa mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP: Omary Mahita dhidi ya kesi aliokuwa amebambikiwa ya kumkashifu rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh: Benjamini Mkapa, ambapo kesi hiyo ilinguruma mnamo mwaka 1997 na Mrema kufanikiwa kushinda kesi hiyo kutokana na ushaidi