Janga Harusini 1B - New Bongo Movies (next part 1C)

Joka limerudi kutokana na kuvunjwa kwa sharti la msingi. Mjomba na Mazanda wamepagawa wakihangaika wapi waanzie katika kutatua tatizo hili linalowapa taswira mbaya mbele ya wanakijiji wenzao.