JINI

Joka limerudi kutokana na kuvunjwa kwa sharti la msingi. Mjomba na Mazanda wamepagawa wakihangaika wapi waanzie katika kutatua tatizo hili linalowapa taswira mbaya mbele ya wanakijiji wenzao.