KWA UPOLE HUU WA NYOKA HUYU SASA......

Joka limerudi kutokana na kuvunjwa kwa sharti la msingi. Mjomba na Mazanda wamepagawa wakihangaika wapi waanzie katika kutatua tatizo hili linalowapa taswira mbaya mbele ya wanakijiji wenzao.