Kabeef ka Matilda na Njambi kanaendelea kuiva .. Ep 51 Pt 1

Mwezi Juni runinga ya Citizen iliangazia taarifa ya msichana mmoja aliyedai kubakwa na muuguzi wakati akipokea matibabu katika hospitali ya Kenyatta hapa jijini Nairobi......msichana huyo sasa amefariki na familia yake inasema hospitali hiyo ilimtelekeza binti yao madai ambayo hospitali ya Kenyatta inakana ikisema uchunguzi unafanywa kubaini nini hasa kilichosababisha kifo chake. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 28 alikuwa amelazwa baada ya kuchomeka na kupata asilimia sitini ya majeraha.