Bustani Zenye Hatari

Kenya ni moja ya nchi za Afrika Mashariki ambazo hazikosi matukio ya ajabu kila mara. Hii imetokea kwenye mji wa Eldoret ambapo kuna watu walikamatwa wakifukua makaburi yaliyozikwa watu kuanzia wiki moja ili kuchukua vitu vya thamani walivyozikwa navyo.