Mwanafunzi aliye na sehemu za kike na kiume aeleza masaibu yake, Bungoma

Polisi mjini Eldoret wanachunguza kisa ambapo mwanafunzi mmoja wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha Moi, Eldoret , alimuua mwenzake kwa kumdunga kisu usiku wa Jumatatu, walipokuwa wakizozania msichana mmoja. Marehemu akiandamana na rafikiye anasemekana kumpata mshukiwa akiwa na msichana anayezozaniwa kwenye chumba, na hapo cheche za maneno zikaanza, zikafululizwa vita, hadi pale mshukiwa alipokimbilia kisu na kumfukuza marehemu, lakini akamdunga kifuani na kumuua.