MSICHANA ASIMULIA MATESO WANAYOPATA UARABUNI (RIPOTI HII IMEZUILIWA NA SERIKALI)

Mashirika yanayowaajiri wafanyakazi kwa ajili ya ajira Saudi Arabia wakabiliwa na kashfa mbali mbali na baadhi wanaeleza maoni yao.