Mabinti 12 wakamatwa wakisubilia kusafirishwa kiharamu kwenda Oman kufanya kazi za ndani

Mashirika yanayowaajiri wafanyakazi kwa ajili ya ajira Saudi Arabia wakabiliwa na kashfa mbali mbali na baadhi wanaeleza maoni yao.