JOTI KAZUNGUMZA: Ni kweli Rais Magufuli kamsaidia nyumba yake isivunjwe.?

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma kafunguka kaeleza kuhusu ishu yake ya kuishia Darasa la Saba na namna alivyofanikiwa katika biashara.