"RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza nae, nimempa siku 3' - MSUKUMA

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma kafunguka kaeleza kuhusu ishu yake ya kuishia Darasa la Saba na namna alivyofanikiwa katika biashara.