Alichokijibu Emanuel Mbasha kuhusu kuoa tena na ndoa ya aliyekuwa mke wake Frola

October 6 2015 waimbaji wa gospel ambao ni wanandoa, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha walifika Mahakamani kwenye kesi ya madai ya talaka iliyofunguliwa na Flora zaidi ya mwaka mmoja uliopita na maamuzi haya ndio yakatangazwa.