Kilichonaswa kwenye talaka ya Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha

Baba mzazi wa Emmanuel Mbasha, Mzee Maneno amefunguka kuwa mwimbaji wa Injili Flora Mbasha alichoka kukaa na mwanaye ndiyo maana mgogoro wao umefika hatua hii.