Mama Kanumba "Gabo amenialika akanigharamia kila kitu kufika hapa"

Hii ni planetbongo ya east africa radio na hii ni DAY 5 kati ya zile siku 10 za maangamizi inawakutanisha FID Q na YOUNGKILLER wote kutoka mwanza kwenye dakika 10 za maangamizi