Wasanii 5 wasiojua Kiingereza Bongo.

Nchi unayonipeleka sijaiwahi kufika. japo naifahamu Sihitaji kupitia dirishani bali mlangoni, nisijeona Jehanamu. Nyumba uliyohitaji umeshaingia, kiti pia umeshakalia. Ila kuna mahali hujapafikia hapo ndipo utakapotulia