Babu Tale: Mavoko anamkataba na WCB/ Diamond pia amefuta ya Sallam

Mmoja kati ya mameneja wa WCB, Babu Tale amfunguka kuzungumzia tetesi zinazosambaa nitandaoni kwa kasi kwamba Rich Mavoko ameachana label hiyo.