Kifesi: Diamond ameni-block/ Sijamwambia Zari/ Mavoko nimesikia

Mmoja kati ya mameneja wa WCB, Babu Tale amfunguka kuzungumzia tetesi zinazosambaa nitandaoni kwa kasi kwamba Rich Mavoko ameachana label hiyo.