Kilio cha Wanyamapori pt 1

Jeshi la Polisi Dodoma linawashikilia jumla ya watu 23 kwa makosa mbalimbali ya kiuhalifu ikiwemo utapeli, wizi wa kuvunja nyumba na maduka pamoja wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya