ENEWZ - "Dokta aliniambia nitakufa siku yoyote" - Msechu

Jeshi la Polisi Dodoma linawashikilia jumla ya watu 23 kwa makosa mbalimbali ya kiuhalifu ikiwemo utapeli, wizi wa kuvunja nyumba na maduka pamoja wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya