"WATAPATA TABU SANA " Wahamiaji Haramu 40 Waliokamatwa Dodoma!

Jeshi la Polisi Dodoma linawashikilia jumla ya watu 23 kwa makosa mbalimbali ya kiuhalifu ikiwemo utapeli, wizi wa kuvunja nyumba na maduka pamoja wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya