Polisi Na Majambazi Wakabiliana Vikali, Muthangari

Baadhi ya watu wameanza kugeukia uganga kama njia moja ya kukabiliana na wizi na uhalifu wa aina nyingine...kufuatia matukio katika maeneo tofauti nchini imedhihirika kwamba watu wengi wanawaamini waganga kuliko polisi. Katika kisa cha hivi punde , wakaazi wa kijiji cha Chepkutung, jimbo la Kericho walishuhudia tukio la kushangaza pale mtu mmoja aliyetambuliwa na mganga kwamba alikuwa mwizi wa ngombe alipoanza kula nyasi.