hii ndio ndege ya kivita naJESHI na kubwa ya KIJESHI kuliko yoyote duniani tazama hapa |SHARE hii

HIZI NI FAIDA (5) WALIZO ZIPATA TANZANIA KUPITIA UJIO WA DEGE HILO. 1.ADVERTISEMENT Tanzania imeweza kujitangaza kupitia ndege hii kuwa wana weza kupolea ndege za ukubwa wowote kwa sasa na kwa muda wowote. 2.HOTEL OPPORTUNITIES Hotel za kibongo zimepata fulsa na kujipatia wateja watakao Lara kwnye hotel hizo pia na watakao kula chakula hotelin mwao. 3.INCRIASEMENT OF TOURISM. Inatarajiwa kuwa utarii utsongezeka katika sehemu mbali mbali ys nchi kwakuwa Airport yetu inauwezo wa kupokea ndege za aina yeyote. 4.INCREASEMENT OF REVENUE THROW TAX. Tanzania imeweza kupa mapato kutokana na kodi inayo chajiwa kwa kila ndege ina luka na kushuka kwenye viwanja vyao kutokana na Aina na ukubwa wa ndege izo. Na ukizingatia ndege hiyo ni moja kati ya ndenge kubwa duniani. 5.COOPERATION BETWEEN COUNTRIES. Nchi hizi mbili Tanzani ambapo ndege ilitua na UK ambapo ndege ilitoka, wanaweza wakakaa chini ili wazungumze biashara kama kutakuwa na uwezekana wakuanzisha safari ya kusafirisha abiria kwa nchi hizo mbili. CONCLUSION. Shirika hilo la ndege za FLY EMMARETES limefulaishwa sana upokezi huo wa kushitukiza na msaada ambao Tanzania imetoa kwao CHA UMUHIMU USISAHAU KU-SUBSCRIBE ILI NTAKAPO KUWEKEA MATUKIO MENGINE UWE WA KWANZA KUYAPATA.ASANTE. #TUMEWASHA #CHOMBOKWAHEWA #SANAAIMEZALIWAUPYA #WASAFI-TV