MAAJABU:AOLEWA NA MWANAYE BAADA YA KUMPA MIMBA

MKASA MZITO! Mama Aliyekufa na Kufufuka, Asimulia Mazito UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI! Hivi ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la kushhangaza lililotokea baada ya mama mmoja mkoani Morogoro kufariki dunia, na baadaye maiti yake kupiga chafya. Akisimulia mkasa huo,siku ya harusi yake, mtoto wa mama huyo Elizabeth, aishiye mkoani Mwanza, amesema siku ya tukio alikuwa kanisani akifanya maombi, baada ya kumaliza aliwasha simu yake na kukuta missed call nyingi, na baada ya kupokea simu alipewa taarifa juu ya kifo cha mama yake mzazi. Ndipo alipokurupuka na kurudi haraka nyumbani na akaanza kulia baadaye akapata wazo la kumpigia mchungaji wake Joackim, ambaye kwa zaidi ya mara mbili alipompigia hakufanikiwa kuongea nae kutokana na mchungaji huyo kuwa bize na huduma ya maombi aliyokuwa akiwapatia waumini wengine, alipomaliza huduma alifanikiwa kuzungumza nae na alipompa taarifa juu ya kifo cha mama yake, mchungaji alimkatalia na kumwambia mama yake hajafa. "Mchungaji aliomba nimpe muda azungumze na Mungu juu ya kifo cha mama yangu, baada ya muda alinipigia na kuniambia kuwa mama yangu hajafa" amesema ElizabethAkizungumza na Global TV, Mama Huyo amesema siku hiyo alikuwa anajisikia vibaya, akaishiwa nguvu na baadaye kujikuta amezimia na kupoteza kumbukumbu zake alivyokuja kushtuka akawa haelewi mazingira aliyopo na kuhoji watu waliokuwa mbele yake kuwa kuna nini. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..