BIBI HARUSI AIKIMBIA NDOA

Siku moja tu baada ya kuolewabibi harusi Shani Said mwenye umiri wa miaka 15 mkazi wa manyuki kihonda mkoani Morogoro amekimbia ndoa yake kisha kurudi nyumbani kwako, Uchunguzi wa Global tv ulibaini kuwa wakati serikali ya awamu ya tano ikisisitiza maadili kwenye jamii na haki za watoto kuzingatiwa mama mzazi wa Sophia Ally anadaiwa kumuozesha binti yake mwenye umri wa miaka 15 kwa mwanaume anaejulikana kwa jina la Hassan Ally mkazi wa eneo hilo pia alie kataa katakata kutaja umri wake. Tukio hilo la ndoa na harusi lilijili February mosi mwaka huu nyumbani kwa mama huyo manyuki kihonda kabla ya siku moja badae Shani kumtoroka mumewe huyo na kurudi nyumbani. Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..