Cheka na uwe na furaha - part 1

MWARABU: Kufukuzwa WCB / Diamond Nilimcheki / Hawatoweza Baunsa anayemlinda Msanii wa Bongo Fleva, Nassib Abdul 'Diamond Platnumz' anayefahamika zaidi kwa jina la Mwarabu Fighter amefungukia tetesi zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa amefukuzwa kazi na nafasi yake imeshikiliwa na mtu ambaye tunamuona hivi sasa akiwa anamlinda Mbongo fleva huyo. Mwarabu amekanusha tetesi hizo na kusema kuwa bado yupo WCB na anaendelea kufanya kazi na Diamond kama kawaida, kutokumuona naye ni kwa sababu ya taratibu za kiofisi ambazo hawezi kuziweka wazi ila siku yoyote tutamuona naye. Mwarabu amefunguka hayo alipokuwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokwenda kutoa nyuzi alizowekewa siku chache zilizopita baada ya kupata ajali. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..