Mtoto wa Miaka 3 Anayefundisha Sekondari

Mtoto Ifam ambaye video yake ilisambaa miezi 6 iliyopita akitaja majina ya viongozi mbalimbali, leo katambua pia uteuzi wa Waziri mpya wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo.‬