MJI WENYE MILIMA YA CHUMVI NA MITO YA VOLCANO, DALLOL ETHIOPIA

Mji Wa Liwale Mei 13 umezizima kwa nderemo na vifijo kwa muda wa saa sita baada ya Mlemavu anayesadikika kuwa na umbile fupi usawa wa ndoo ndogo, Jivunie Mbunda mwenye umri wa miaka 35 kufunga ndoa. Na Bahati ramadhani mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Newala mkoani Mtwara