'Halima Mdee akamatwe na Polisi akiwa na pingu na aletwe Bungeni' -Spika Ndugai

PROF. LIPUMBA AMVAA MAALIM SEIF NA LOWASSA ATOA SABABU ZA KUJIUZULU: Mwenyekiti wa zamani wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amemtaja waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuwa chanzo cha mgogoro mkubwa unaokikumba chama hicho. Akizungumza jana katika mahojiano na Clouds Fm, Profesa Lipumba alisema kuwa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na viongozi wachache wa CUF walikaa Zanzibar na kubariki kumpokea Lowassa bila kumshirikisha yeye alipokuwa Mwenyekiti wa chama hicho