Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”

Mbunge wa Tarime vijijini John Heche amelalamika ndani ya Bunge kwamba Serikali imekuwa ikiwanyima uhuru wa kuzungumza baadhi ya viongozi na wanachama vya vyama vya upinzani na pale wanaoonekana kuzungumza kwa lengo la kuikosoa Serikali huishia kupelekwa Polisi na Mahakamani.