FULL VIDEO: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Airport Terminal 3

Rais Dkt John Pombe Magufuli amefanya ukaguzi wa kushtukiza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Terminal One na kuagiza wafanyakazi wawili uwanjani hapo waliomdanganya kuwa mashine za ukaguzi zinafanya kazi wakati zikiwa hazifanyi kazi waondolewe uwanjani hapo na kushushwa vyeo.