Steve Nyerere Kapilitiza Kuiga Sauti

Kuna watu wanaweza kuigiza sauti ya mtu alafu ukiwasikiliza unacheka na kubaki mdomo wazi... huyu jamaa ni miongoni mwa hao Mamaster, mtazame alafu uniambie kampatia nani zaidi.