DAKIKA 4 ZA MJUKUU WA MAGUFULI NA COMPUTER INTRODUCTION, MASHAA ALLAH

MICHANGO YA KUMSAIDIA ANTHONY INAPOKELEWA KWENYE M-PESA 0756 884 884 JINA NI MILLARD AYO. Anthony Petro ni mtoto wa miaka 11, mwanafunzi wa Darasa la kwanza shule ya msingi Ndungusi kata ya Kabanga wilaya ya Ngara Kagera. Ni mtoto gumzo kwenye mitandao ya kijamii Tanzania baada ya video yake kusambaa akiongea kuhusu kumpeleka Baba yake Polisi kwa kisa cha kutaka kuuza shamba.