Waraka wa Baba

Heka heka za mjomba Nishai za Mfikisha kwa mama yao Vipande, katunukiwa ubaba na kaupokea kwa moyo wote, ila sasa balaa lake atauweza Starring Joti, G'near Written by Joti & Eddy Musiba Directed by Hashim Yahya Edited by Omari Mgazza Crew Alfred Nyirenda & Faudhia Gingi