Joti TV Episode 21 Hainaga UshemejiComedy Cover

Sio Rahisi Kuamini lakini Hua Inatokea Baada ya Kupuuzia Kauli au Agizo.. Hami J ameibiwa Upepo wake Tangazo Limesikika Balaa linakuja kwenye Dua anayotaka Kuomba kulaani Mwizi wake. Starring: Joti, Kipande, Mlewa & Omary Story: Joti, Edwin Musiba and Gabriel Baraka DOP: Edwin Musiba Editor: Omary Mgaza Producer: Gabriel Baraka