FULL VIDEO: Mazishi ya mkwe wa Kikwete yawakutanisha Lowassa wapinzani wake

Mbunge wa jimbo la Ubungo ambae pia ni Meneja kampeni wa CHADEMA katika jimbo la Kinondoni Saed Kubenea amesema kuwa wamepata taarifa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ally Hapi wamekua wakikaa vikao vya siri na mkurugenzi wa iuchaguzi ili kupanga hujuma za kuvuruga uchaguzi wa marudio Jimbo la Kinondoni.