Diamond Platnumz, Wema Sepetu washindwa kujizuia hisia zao katika shughuli ya Zamaradi

FAIZA - "SUGU Ananipenda / Siwezi KURUDIANA Nae " Miongoni mwa mastaa ambao walijitokeza kwenye hafla ya arobaini ya mtoto wa Mtangazaji, Zamaradi Mketema anayeitwa King Salah ni Mwanamitindo Faiza Ally, ambaye amepiga stori na Global TV na kufungukia ukaribu wake na Zamaradi. Faiza pia amezungumzia kuhusiana na ujumbe wake mzito aliouposti kwenye ukurasa wake wa Instagram ukimtuhumu Mzazi mwenziye ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu kuwa ana sua sua kwenye kumhududmia mtoto wake. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..