tenda miujiza by mchungaji abiud mishuli

Nikupe nini cha kukupendeza ni wimbo kati ya nyimbo pendwa za wakati wote na mara zote niusikiapo wimbo huu huwa napata nguvu na kuimarika sana. Je ni nini cha kumpa Mungu wetu kama sifa kwa yote anayotutendea? Mungu wetu ni mkuu na anastahili sifa kama hizi za waimbaji wetu wa Unga Limited Arusha. Je kuna wimbo unatamani kuusikia? Niandikie hapo chini kwenye comment nami kwa ruhusa ya Mungu muumba wetu nitauweka mahali hapa ili neno la Mungu lisikike na kusonga mbele daima. -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "Nimwonapo Yesu Pale Msalabani" https://www.youtube.com/watch?v=VU8gIvucRQw -~-~~-~~~-~~-~-