Nani AliyeMuua Mama Best Of Bongo Full Movie

Nchi unayonipeleka sijaiwahi kufika. japo naifahamu Sihitaji kupitia dirishani bali mlangoni, nisijeona Jehanamu. Nyumba uliyohitaji umeshaingia, kiti pia umeshakalia. Ila kuna mahali hujapafikia hapo ndipo utakapotulia