Muna Love: Casto Dickson aliniomba msamaha nikiwa Kenya

STEVE Amjibu MUNA: "Utakuta MTOTO ni wa MLINZI" Kufuatia mkutano alioufanya muigizaji Muna Love na waandishi wa habari hapo jana na katika maelezo yake akaanika sauti ya muigizaji mwenziye Steve Nyerere ambayo alimpigia simu muda mfupi baada ya mwanae kufariki dunia huko Kenya na kuzungumza nae baadhi ya mambo kuhusiana na kifo hicho cha mwanae. Katika mazungumzo yake Muna, amekanusha baadhi ya taarifa ambazo zilitolewa na Steve Nyerere zikidai kuwa muigizaji huyo amekubali kushirikiana na Mumewe Peter Komu katika kumzika mtoto Patrick ambaye Muna amekanusha kuwa sio wa Peter bali ni wa Casto Dickson. Sasa baada ya ubuyu huo kutua mezani kwa Steve Nyerere naye ameamua kuitisha mkutano na waandishi wa habari kupangua hoja zote zilizotolewa na Muna ambazo zinamuhusu yeye. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..