Wema Sepetu na Mama yake Mahakamani kwa mara ya kwanza toka arudi CCM

Wema Sepetu amekua akutoa malalamiko mengi juu ya mwaka 2017... mbali na kesi yake inayomkabili zipo changamoto za hapa na pale... kupitia Wema App amepost na kuuelezea mwaka 2017 ulivyokua... na hiki nikipande kidogo kutoka kwenye App yake ambayo inapatikana Play Store kwa kuandika Wema Sepetu