MFALME KATILI 1-MSISIRI MOVIES|BONGO MOVIES| SWAHILI MOVIES| BONGO MOVIE|FILAMU ZA KIBONGO

Chaupele: Ni Filamu ya kusisimua na ya kusikitisha. Chaupele alipendwa sana na baba ake. Mama ake alipofariki, alikaa na baba ake kipenzi. Kadri muda ulivyokwenda, baba ake aliona mwanamke. Angalia visa vya mama wa kambo, jinsi gani chaupele aliteswa na baadae neema ikaja... Big One Entertainment presents: Chaupele Part 1 Bongo Movie | Tanzania SUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA