Maajenti wa kazi za Saudia wajieleza

Mashirika yanayowaajiri wafanyakazi kwa ajili ya ajira Saudi Arabia wakabiliwa na kashfa mbali mbali na baadhi wanaeleza maoni yao.